ISBN 9966-08-384-7
Pages 107
Publication 2008
Availability In Stock
Hard Copy
US $3 |
Kitabu hiki kinalenga kuwasaidia viongozi wa Kanisa wanaoitwa kuwasaidia waumini wao baada ya mateso makubwa kutokea. Kitawasaidia pia watu wanaojitahidi na mambo yanayohusiana na mateso.